song lyrics / Khaligraph Jones / Juu Ya Ngori lyrics  | FRen Français

Juu Ya Ngori lyrics

Performer Khaligraph Jones

Juu Ya Ngori song lyrics by Khaligraph Jones official

Juu Ya Ngori is a song in Swahili

Kama unangori, (kama unangori)
Kuja na mboggi na gathee. (raah)
Kama unangori, (kama unangori)
Kuja na mboggi na theng. (iyee)

Kama unangori, (kama unangori)
Me sina worry, (me sina worry)
Me sina worry, (me sina worry)
Juu nitakukokia feng

Ngoma zangu - ngori (eeh)
Flow nayo - ngori, (flow)
Nguo nazo - ngori, (wuu)
Kadem nako - ngori, (haa)
Juu ya ngori - ngori, (buda)
Ati nini - ngori ,(ngori)
Ngori ngori - ngori, (ngori)
Ngori ndori - ngori. (haa)

Flow nayo - ngori,
Swag nayo - ngori
Kila kitu - ngori
Kila kitu - ngori
Nairobi - ngori,
254 - ngori
Eeh eeh - ngori
Juu ya ngori - ngori

Yeah, ushaijua vile unaeza kuleta ngori,
Ukileta ngori, uku ni ngori joh
Unatabia za kishodi shodi
Kesi na OG ni horrible.
Morio, hukumbuki juzi ni nini ilifanyika kwa corridor
Ulijaribu kuziba ngori, kumbe nilikuwa nishakutoa corridor
Sorry bro, hatuko kimoja, saa me niko category soo.
Niko na akina sokodi, kaa unacopy then i just told you so
No worries though, testimony imefanya nijue za kodi msoo,
90 percent of you rappers, bado mnazimwa na shorti kaa notiflow
But know tukienda kigongi kombi
Kuja na packo ya condico
Nairobi knows vile nikona mapepo
Nahitaji maombi boss
Kila siku me na mourn medoss,
Ndo reason nifuatwe na horny horse
My life is like a movie
(Wuuh) wacha niwapatie chronicles
So stay on your lane kaa doriko
Cause usipo utapigwa makofi bros
Sikotoshi knows ilibidi baki
Nimekuwa nikiziaforfdi koo mapro ni pro,
Form ni show
Ulidhani itakua impossible.
Instead kutype kwa simu,
We nitafute kaa ukona ngori joh

Kama unangori, (kama unangori)
Kuja na mboggi na theng. (raah)
Kama unangori, (kama unangori)
Kuja na mboggi na theng. (iyee)
Me sina worry, (me sina worry)
Me sina worry, (me sina worry)
Me sina worry, (me sina worry)
Juu ninakukokia feng

Ngoma zangu - ngori (eeh)
Flow nayo - ngori, (flow)
Nguo nazo - ngori, (wuu)
Kadem nako - ngori, (haa)
Juu ya ngori - ngori, (buda)
Ati nini - ngori ,(ngori)

Ngori ngori - ngori, (ngori)
Ngori ndori - ngori.
Kama unangori, (kama unangori)

Usichoche kwa twitter na insta story,
Name a location nikuje katambe,
Twitter fingers tunajua ni boring.

Kama unangori, (kama unangori)
Tukuchatishe na mateke na dondi
Kama ni kudiss mliona nini
Nilifanyia vera na Eric omondi

Kama unangori, (kama unangori)
Tukikutana usijifanye Holy
Juu nitakuchangamkia uporwe
Na walenje umeseti kwa koti

Kama unangori, (kama unangori)
Hakikisha unatembea na mboggi
Juu wale kiawa wananitambua
Si wale hudance hizo ngoma za odi

Shine on nimepita na Glory
Jwang inapiga nikiwa na mashodi,
Nipate mollys,mimi na mollys on
The purple kama Francis Atwoli
Hapa ni teke hakuna cha slowly,
Me si natamka mambo ata sivoli
Nikisema nikona kimuthongi

Ujue si challenge ya Kobi.
Si ndio waswang ya tonj ya mbono
Tunawaimgiza na ii Origi
Si ndio hupita na vibeti kwa mkono
Si ndio huongelewa daily TV.
Si ndo macon wa Tao.
Pata potea na base ni stage ya Bangu
Supplier wa nyama ya paka
Mlikuwa mnaekelewa kwa sambu

So kama ni ngori jua niakina nani unadeal na wao
Coz none of my niggasare keeping it 100
Zetu ni mabills za thao

So before muulize nani amekafunga
Kwanza mjue nani amevunja rekodi
Izo pang'ang'a kujicompare na
Me haziwezi nyi ni matothi

Kama unangori, (kama unangori)
Kuja na mboggi na theng. (raah)
Kama unangori, (kama unangori)
Kuja na mboggi na theng. (iyee)

Kama unangori, (kama unangori)
Me sina worry, (me sina worry)
Me sina worry, (me sina worry)
Juu nitakukokia feng

Kama unangori, (kama unangori)
Kuja na mboggi na theng. (raah)
Kama unangori, (kama unangori)
Kuja na mboggi na theng. (iyee)

Me sina worry, (me sina worry)
Me sina worry, (me sina worry)
Me sina worry, (me sina worry)
Juu ninakukokia feng
Ngoma zangu - ngori (eeh)

Flow nayo - ngori, (flow)
Nguo nazo - ngori, (wuu)
Kadem nako - ngori, (haa)
Juu ya ngori - ngori, (buda)
Ati nini - ngori ,(ngori)
Ngori ngori - ngori, (ngori)
Ngori ndori - ngori. (haa)
Flow nayo - ngori
Short nayo - ngori
Kila kitu - ngori
Kila kitu - ngori

Nairobi - ngori,
254 - ngori,
Eeh eeh - ngori,
Juu ya ngori - ngori
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Juu Ya Ngori lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the right of the thumbs up
2| symbol to the left of the helmet
3| symbol to the left of the heart
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid