song lyrics / Elsaphan Njora / No Formula lyrics  | FRen Français

No Formula lyrics

Performers Elsaphan NjoraSens_eiM3

No Formula song lyrics by Elsaphan Njora official

No Formula is a song in Swahili

Eh manze me natala kuwa rapper jo
Lakini kuwa lyricist ni ngumu
Acha nikushow vile utafanya
Ngoga


Eeew wewe eeew wewe
Eeew were eeew wewe


I'm a crazy fool in the studio
And my fridge ain't full, sina food yo
Nyanya kwa canteen zimepanda
Nahanda watu huko kwao, Hans Landa
Unacheka cheque zangu zikibounce yo
Unafyeka miguu zangu kwenye dance floor 
Unalenga DM zangu, ntaku cancel
Cheki wacha hizo, acha hizo nipee chance jo
 
Hii ni story gani nataka kusema, man? 
Sina formula nataka tu msimame
Viti shika moto, mshindwe kuzima, man
Jaribu weka tako chini nishasema ngwe! 

 
Weeeeeeeeeeeeee! 
Tunacheza chini chini, Ndakaini
Nimeweka pilipili, baki chini
Tunajenga tu misuli ka Shaqiri
Hii ni ile ngoma silly, si shairi
Chukua dakika mbili, tafakiri
Ondoa mawazo mengi kwa akili
Kula hepi wacha stress, we nawiri


Tunasonga mbele mbele jo wacha kelele
Tunachenga kama Pele, unasema nini? 
Unadhani tunashindwa kumbe tuko winning, 
Unadhani tuko mwisho kumbe hapa ni beginning, 
Usikunje sura buda, wacha hizo feelings
Kuja pande yetu tuko hapa we are chilling
Si lazima mtu wangu, kuja kama uko willing 
Tunalipa hizi billings na mashillings, we are living

Hii ni story gani nataka kusema, man? 
Sina formula nataka tu msimame
Viti shika moto, mshindwe kuzima, man
Jaribu weka tako chini nishasema ngwe! 


Weeeeeeeeeeeeee! 
Tunacheza chini chini, Ndakaini
Nimeweka pilipili, baki chini
Tunajenga tu misuli ka Shaqiri
Hii ni ile ngoma silly, si shairi
Chukua dakika mbili, tafakiri
Ondoa mawazo mengi kwa akili
Kula hepi wacha stress, we nawiri

Weeeeeeeee
Kula hepi wacha stress, we nawiri
Kula hepi wacha stress, we nawiri
Kula hepi wacha stress, we nawiri
Kula hepi wacha stress, we nawiri
Weeeeeeeee!
Kula hepi wacha stress, we nawiri
Kula hepi wacha stress, we nawiri
Kula hepi wacha stress, we nawiri
Kula hepi wacha stress, we nawiri

Leo sina shida leo, kula hepi yeyo
Barracuda si scuba, usitest deep end
Leo sina shida leo, kula hepi yeyo
Barracuda si scuba, usitest deep end
Leo sina shida leo, kula hepi yeyo
Barracuda si scuba, usitest deep end
Leo sina shida leo, kula hepi yeyo
Barracuda si scuba, usitest deep end

Weeeeeeeeeeeeee! 
Tunacheza chini chini, Ndakaini
Nimeweka pilipili, baki chini
Tunajenga tu misuli ka Shaqiri
Hii ni ile ngoma silly, si shairi
Chukua dakika mbili, tafakiri
Ondoa mawazo mengi kwa akili
Kula hepi wacha stress, we nawiri

Weeeeeeeee
Kula hepi wacha stress, we nawiri
Kula hepi wacha stress, we nawiri
Kula hepi wacha stress, we nawiri
Kula hepi wacha stress, we nawiri
Weeeeeeeee!
Kula hepi wacha stress, we nawiri
Kula hepi wacha stress, we nawiri
Kula hepi wacha stress, we nawiri
Kula hepi wacha stress, we nawiri
Weeeeeeeee!
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for No Formula lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the top of the camera
2| symbol to the right of the suitcase
3| symbol to the left of the television
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid