song lyrics / B2K Mnyama / Zawadi lyrics  | FRen Français

Zawadi lyrics

Performer B2K Mnyama

Zawadi song lyrics by B2K Mnyama official

Zawadi is a song in Swahili

Kama kupenda nimakosa yangu nihukumu wewe
na adhabu yangu naitaka unipangie wewe
kuhifadhi laana ya upendo uwe wa kwanza wewe uniambie sababu ilio fanya ukanifunga wewe
Unifanyie mabaya kisa upendo mbona wengine wataogopa yani uniadhibu kisa upendo walai we unaongopa


Chukua hii zawai yako ulinipaga kipingi si tunapendana ety alikupa kaka yako itabakije na mm hii niyako mama


haa haaa
njoo usimame utoe adhabu yako
mana una hasira dhidi ya mpenzi wako
haaa haaa njoo usimame utoe adhabu yako wewe mana una hasira dhidi ya mpenzi wako


Kama hasira ndio inafanya ufiche upendo wangu nan atafanya ukose rahaa
nimepambana mchana usikunifikishe ujumbe wang eti umekufanya uko rahaa

usijali ni matatizo tu ya ujana vumilia japo unaniona sina mana nimeamini hali ya leo sio ya jana na vumilia japo japo nabeba hizi lawama


Chukua hii zawai yako ulinipaga kipingi si tunapendana ety alikupa kaka yako itabakije na mm hii niyako mama

haa haaa
njoo usimame utoe adhabu yako
mana una hasira dhidi ya mpenzi wako
haaa haaa njoo usimame utoe adhabu yako wewe mana una hasira dhidi ya mpenzi wako
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Zawadi lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the top of the helmet
2| symbol at the top of the cloud
3| symbol to the right of the eye
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid