song lyrics / B2K Mnyama / Yamenishinda lyrics  | FRen Français

Yamenishinda lyrics

Performers B2K MnyamaProfessor Jay

Yamenishinda song lyrics by B2K Mnyama official

Yamenishinda is a song in Swahili

Japo nina mke home ila status napost
nipo single
hata akipita dem lazima nigeuze shingo
mke nime save shem nikiwa na dem wa kikongo

afi sio naongea sana nafanya vitendo na ye anaona maana
fety nisha mpaga tabu kachoka sa ananiangalia tu schola kakosa jawabu niki mpa hai ana uchuna tu



nilikuwa na modo achana na yule chotala wa tabata mwenye chuchu dodo alie kuja na rafikiake nikapita


yame nishindaaa
yamenishinda mie
yamenishindaa mie


aaah dogo acha mapepe mrudie mkeo
yote ulio tenda haya ndio matokeo
ubishi ujuaji uchawa na vileo ndio vina kuumiza na kukwangamiza leo

tulisha kwambia ukatuona wote mazuzu
ukajiona jemedari na vyuo vyote umefuzu
ulitesa familia watoto kutwa wanalia angali jumba bovu sasa lime kwangukia

ulio kuwa nao leo hawapo tena na ulio wathamini ona wamesha kutema
muombe mungu wetu daima yeye husamehe muombe msamaha wife maisha yaendelee au sio.

Najua nlikukwaza dear bby naomba nisamee mabaya hayata jirudia mama
nilikukwaza nimeomba ladhi pia bby maisha yaendelee niwie radhi mi mzazi mwenzio bwana


nilikuwa na modo achana na yule chotala wa tabata mwenye chuchu dodo alie kuja na rafikiake nikapita


yame nishindaaa
yamenishinda mie
yamenishindaa mie
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Yamenishinda lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the bottom of the cloud
2| symbol to the right of the calculator
3| symbol at the top of the eye
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid