paroles de chanson / Wakadinali parole / Wapi Na Nani? lyrics  | ENin English

Paroles de Wapi Na Nani?

Interprètes WakadinaliSir Bwoy

Paroles de la chanson Wapi Na Nani? par Wakadinali lyrics officiel

Wapi Na Nani? est une chanson en Swahili

Woah Woah Woah ah

Wapi na nani! Wapi nani! Wapi na nani!
Ngoja niwalole! Pinji ni red rose
Msee ana gotha, ni ombre
Ukimuok, na heda ni dibla
Sisi kuslay, si ka kina Zari
Continue show msee alituzidi wapi na nani!

Wapi na nani! Wapi nani! Wapi na nani!
Ngoja niwalole! Pinji ni red rose
Msee ana gotha, ni ombre
Ukimuok, na heda ni dibla
Sisi kuslay, si ka kina Zari
Continue show msee alituzidi wapi na nani!

Hebu kuja kuja kuja huku kamenuka
Ka-Ka-Ka! Ndeng'a msee inatiririka
Si ni wa kukuja tuko nyuma
Huku kwetu mtaro imefura
Liquor, nimefanya imeisha full half-litre
Tangu niwe mless mi ni mtukutu
Gyaldem anajua Kim Jung Dosh - mi ni mtukutu
Sare porojo, bad news this is the cookbook
Siezi pull up na kisu mi ni mtu tu tu tu
Mbuku nijaze mistari zii - hihihi!
Chill booth hunukanga me ni mlikkle ill
Tafuta diro na mngola
Uwezi rudi tena umezeshee mbleina namtoka
Usiwai kubonga sana kasheshe
Ngati ngati ngati ngati ngati ngati msee
This is a wake up call welcome to my channel
Who am i? Cheki skele wa mine
Nigga vanilla interior
Mbele na nyuma ni white

Wapi na nani! Wapi nani! Wapi na nani!
Ngoja niwalole! Pinji ni red rose
Msee ana gotha, ni ombre
Ukimuok, na heda ni dibla
Sisi kuslay, si ka kina Zari
Continue show msee alituzidi wapi na nani!

Wapi na nani! Wapi nani! Wapi na nani!
Ngoja niwalole! Pinji ni red rose
Msee ana gotha, ni ombre
Ukimuok, na heda ni dibla
Sisi kuslay, si ka kina Zari
Continue show msee alituzidi wapi na nani!

Majengo naitwanga Mukhtar
I'm the headman napita na vichwa
Huwezi nikunja, huwezi nibend
Mpesa na ngithe nadunga weekend
Niko manyaru niko machwade kila subaru
Nadhani ni mambaru thefo wa leo ni momo, na
Shika kundule tatu za njuri
Rizeh alinyuria na nyoi- woi woi woi
Sogi, derava na ndeng'a ni mboi
Mokoro analianga woi jirani ana roho chafu
Ai, Woishe, ulikula mum na snail
Shi', Shi'

Wapi na nani! Wapi nani! Wapi na nani!
Ngoja niwalole! Pinji ni red rose
Msee ana gotha, ni ombre
Ukimuok, na heda ni dibla
Sisi kuslay, si ka kina Zari
Continue show msee alituzidi wapi na nani!

Wapi na nani! Wapi nani! Wapi na nani!
Ngoja niwalole! Pinji ni red rose
Msee ana gotha, ni ombre
Ukimuok, na heda ni dibla
Sisi kuslay, si ka kina Zari
Continue show msee alituzidi wapi na nani!

Hatuongei juu ya kukang'a ka hatujaifanya
Tutakwachia scar kwa face tuanze
Kuita Tony Montana
Tapigia mkanya na asiposhika
Unaeza ita Hosanna
Bei imepanda lakini - hatuwezi kosana
Niko na msabra mi huita
Mzaba kila idhaa anaporura
Naskia mi hurap uhuni
Eeh, juu hakuna kitu ingine najua
Mtusue kampuni ama tuingie streets
Bado mnabuya
Nilisuka Ruby akaingia key, nikaitundura
Si hukuwa wild
Achana na willis, Ye bado anakuja
Dry, Dry no chaser Henny kwa meza
Hivo ndio si hukunywa
Look inaunguza, kiatu ya duka
Huku mtumba si ndio hudunga
Agent hudungwa wakamiss gunda
Hessy akawakuta
Si huchoma mpaka ituchome vidole
Boza inageuzwa nyongi
We na hiyo slim inabaki ukuwe mpole
Roda inaingizwa na key na
Rhoda anaingizwa ndole
Ukibonga hatukuskii before tutoke
Scene si huwacha sorted

Wapi na nani! Wapi nani! Wapi na nani!
Ngoja niwalole! Pinji ni red rose
Msee ana gotha, ni ombre
Ukimuok, na heda ni dibla
Sisi kuslay, si ka kina Zari
Continue show msee alituzidi wapi na nani!

Wapi na nani! Wapi nani! Wapi na nani!
Ngoja niwalole! Pinji ni red rose
Msee ana gotha, ni ombre
Ukimuok, na heda ni dibla
Sisi kuslay, si ka kina Zari
Continue show msee alituzidi wapi na nani!
Droits parole : paroles officielles sous licence Lyricfind respectant le droit d'auteur.
Reproduction des paroles interdite sans autorisation.

Commentaires sur les paroles de Wapi Na Nani?

Nom/Pseudo
Commentaire
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - Tous droits réservés. www.paroles-musique.com
Connexion membre

Se connecter ou créer un compte...

Mot de passe oublié ?
OU
CREER COMPTE
Sélectionnez dans l'ordre suivant :
1| symbole en haut du cadenas
2| symbole à gauche du téléviseur
3| symbole en bas de l'horloge
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid