paroles de chanson / Mtafya parole / Para Panda lyrics  | ENin English

Paroles de Para Panda

Interprète Mtafya

Paroles de la chanson Para Panda par Mtafya lyrics officiel

Para Panda est une chanson en Swahili

Usitusahau kwenye safina siku ya para panda naingoja
Tutakusifu milele amina ili mbinguni tuwe pamoja


Oh my dady my father my god your my king my og
Vipofu unatuonesha load na ndo maana ukutuita hatungoji

Baba hizi nyakati za mwisho nyakati za mateso ni nyakati za vitisho
Najua tunakukosea hadi unauliza why my people
Nakuomba baba usitufungie
mlango wa paradiso

Kanisani mbona naendaga lakini pekeyangu sitoshi
Kama baraka mbona unanipaga nikizigawa hazitoshi

Imani ya njaa imetawa kuliko hata imani utu
Watu wanatenda dhambi ndani ya mwezi mtukufu
Dayle tunachinjana kama mpishi na kuku
Wanaume kua mabinti ndio kinachoendelea huku


Eeh MUNGU baba usituchoke
Tukija kwako usituchome


Eh umetuumba na masikio lakini hatusikii
Ukatuongeza na nidhamu mbona hatukutii
Hata kanisani kwetu tajiri pekee ni mshika sadaka tu
Eti kidigitaly mpaka wachungaji wana chora matatuu

Ah ulisema mwisho mtaona manabii wa uongo
Hivi ni kweli ulionana na dada Dhumaridi wa bongo

Wafanya kazi wanakukumbuka tu kipindi wanapo stuff
Basi nisiongee sana wakasema nina mdomo mchafu

Maisha yamekua mafupi sijui miaka umeifungia koki
Maana hata uzee tunautafuta
Kwa toch
Mh ee tusamehe baba tumekosa



Usitusahau kwenye safina siku ya para panda naingoja
Tutakusifu milele amina ili mbinguni tuwe pamoja


Pamojaa iyeiyee
Yeyeee wouwooo
Yeiyeaar eeeeeeh
UGWEEEEEEE Mtafire again
Meck on this one
Droits parole : paroles officielles sous licence Lyricfind respectant le droit d'auteur.
Reproduction des paroles interdite sans autorisation.

Commentaires sur les paroles de Para Panda

Nom/Pseudo
Commentaire
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - Tous droits réservés. www.paroles-musique.com
Connexion membre

Se connecter ou créer un compte...

Mot de passe oublié ?
OU
CREER COMPTE
Sélectionnez dans l'ordre suivant :
1| symbole à droite de l'enveloppe
2| symbole en bas de l'horloge
3| symbole en bas de la maison
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid