song lyrics / Runner / Niongoze lyrics  | FRen Français

Niongoze lyrics

Performer Runner

Niongoze song lyrics by Runner official

Niongoze is a song in English

Kila nikikimbia
Kuzifata ndoto zangu
Naiyona dunia
Dunia inanitisha
ILa nikitafakali juu ya uwepo wa mungu
Imani inanijaa nitafika lengo langu
Mana yanapozidi mgumu
Najua heri ipo mbele yangu
Sina sababu ya kukufuru
Hata nyakati ngumu hazidumu
Najua mapito tu napitishwa
Sina gadhabu zakumkufuru mungu

Mungu wangu ni wewe wewe
Sina mwinhine Mimi
Sina mwingine
Ni wewe wewe
Nani nimkimbilie
Baba yangu ni wewe wewe
Sina mwingine mimi
Sina mwingine
Ni wewe wewe
Nani nimkimbilie

Simama nami Baba
Niongoze niongeze
Simama nami bwana
Niongoze niongeze
Simama nami Baba
Niongoze niongeze
Simama nami bwana
Niongoze niongoze

Kuna muda napitia changamoto
Lakini mungu hujawai niacha
Magumu yanapozidi kwangu
Miujiza yako naiyona

Siku zangu nyingine nyingine hazitabiliki
Naamka sina kile wala sina hiki
ILa nikikutaja wewe
mungu wangu naiona nuru
Muda mwingine nyakati za usiku
Homa zinanishambulia na sina kitu
ILa nikikuomba wewe
Naamka mzimaa
Nandomana siogopi
Kuhusu kesho yangu
Najua mungu wewe unajua
Oooh siofiii
Hata kuanguka
Wajua wapi utaniinua

Mungu wangu ni wewe wewe
Sina mwinhine Mimi
Sina mwingine
Ni wewe wewe
Nani nimkimbilie
Baba yangu ni wewe wewe
Sina mwingine mimi
Sina mwingine
Ni wewe wewe
Nani nimkimbilie

Simama nami Baba
Niongoze niongeze
Simama nami bwana
Niongoze niongeze
Simama nami Baba
Niongoze niongeze
Simama nami bwana
Niongoze niongoze
Najua usahihi wa kila Jambo
Upo kwako Baba
Kila nitakalo Kwa kutaja jina lako
Wewe hutenda Kwa muda sahihi
Juu ya matakwa yako
Mana mapito ni ukumbusho
Juu ya kufata njia zako
Sitaki kupotea tena
Simama nami simama nami
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Niongoze lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the top of the helmet
2| symbol to the left of the padlock
3| symbol to the left of the clock
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid