song lyrics / LSA J / Hatua lyrics  | FRen Français

Hatua lyrics

Performer LSA J

Hatua song lyrics by LSA J official

Hatua is a song in Swahili

Wapi wanafundisha kupenda, maana elimu kwangu chenga, na hata shule mi sikwenda umande nilikimbia,
Niliyempenda hakunipenda, alienda kama mwanakwenda, tena bonge la pretender hadi leo namfikiria,
Unayedhani anakupenda, ndo atakuletea difenda, unajidai umepata tenda mwenzio anachikichia,
Huwa hayaji gafla gafla,
Mapenzi sio ka kifafa,
So kabla hajakuacha,
Fanya kuzingatia,
Hatua ya kwanza ni dalili,
Hatua ya pili ni presha,
Hatua ya tatu ni maumivu,
Kabla haijafika sepa,
Yani wooh uooh, uking’ang’ania,
Mwishoni moyo, moyo wako utaumia,
Uking’ang’ania,
Moyo wako utaumia,
Yani wooh uooh, uking’ang’ania,
Mwishoni moyo, moyo wako utaumia,
Ni kama vuvuzela, itakukera
Ni kama vuvuzela, inavyokera
Ni kama vuvuzela, itakukera
Yani kama vuvuzela, itakukera
Yule mrembo alienipenda, alilalama upendo sina, kabla hata sjakuwa na jina mwisho akanikimbia,
Unajipa bichwa eti unapendwa, we ukitoka ndo unapondwa, mtaani habari zimetanda kaka una kibamia,
Usivunje miiko kisa jiko, mwisho wa siku kokoriko, wakilibeba wenzio utachekwa na sufuria,
Huwa hayaji gafla gafla,
Mapenzi sio ka kifafa,
So kabla hajakuacha,
Fanya kuzingatia,
Hatua ya kwanza ni dalili,
Hatua ya pili ni presha,
Hatua ya tatu ni maumivu,
Kabla haijafika sepa,
Yani wooh uooh, uking’ang’ania,
Mwishoni moyo, moyo wako utaumia,
Uking’ang’ania,
Moyo wako utaumia,
Uking’ang’ania,
Moyo wako utaumia,
Yani wooh uooh, uking’ang’ania,
Mwishoni moyo, moyo wako utaumia,
Ni kama vuvuzela, itakukera
Ni kama vuvuzela, inavyokera
Ni kama vuvuzela, itakukera
Yani kama vuvuzela, itakukera
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.
Writer: Juma Juma

Comments for Hatua lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol at the bottom of the heart
2| symbol to the right of the cloud
3| symbol to the left of the house
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid