song lyrics / Boutross / Intro Freestyle lyrics  | FRen Français

Intro Freestyle lyrics

Performer Boutross

Intro Freestyle song lyrics by Boutross official

Intro Freestyle is a song in Swahili

Ilikuwa funny nilikuwa mtaani nikiwa ma nduku
Ati Trending kwa Obare ,uko ndethe uko shughuli
Hizi ni gani Hizi no gani , hizi form hata hazinihusu
Na me si upcoming so Kibare kwa huyu Kurutu
Ganji me naitisha nasikia wanapea show crew
Passport au visa Hao mafala wana expect show ?
Vile hard kunireach so kuna vile itabidi utumie zoom
Me nadai kuenda ibiza na aziza apewe shroom
Shout out Eldoret vile nilicome ilikuwa sugu
Show walikuja na mbogi but hiyo show niliwaosha nusu
Vile huyu boy mskinny lakini huyo ngeos alipiga nduru
Walikuja na ma kuku but hizo kuku niligeuza thufu
Hands down nionyeshe nani ananishinda kwa luku?
Buda najua uliomoka bado tunadeal na hizo story za ugumu?
One thing naujua , hardwork ndio hu dumu,One thing for sure , uzembe ndio sumu.
F**k around ujipate uko majuu , F**k around ujipate uko Ethiopia mwaka prrr.
Ka ni kuwa sober its nothing I can't do, wananiita rocky so Rocky what it do.
Ukisikia kawasaki inacreep inamove, ukisikia ni watatu then itabidi utoke mbuga.
Something always happening , yea something boutta move
Jua wewe ndio target and there's nothing you can do
Ukisikia kawasaki inacreep inamove, ukisikia ni watatu then itabidi utoke mbuga.
Something always happening , yea something boutta move
Jua wewe ndio target and there is nothing you can do.
Piga hiyo bean , ride Ikuwe smooth
Blow off some steam , nigga dont f**k up my moods
Big flex my team , Nigga always something new.
100k for the weekend , 100k for the shoes

Shrapgod Shraplife Shout out the 254
Lyrics copyright : legal lyrics licensed by Lyricfind.
No unauthorized reproduction of lyric.

Comments for Intro Freestyle lyrics

Name/Nickname
Comment
Copyright © 2004-2024 NET VADOR - All rights reserved. www.paroles-musique.com/eng/
Member login

Log in or create an account...

Forgot your password ?
OR
REGISTER
Select in the following order :
1| symbol to the left of the smiley
2| symbol at the top of the suitcase
3| symbol to the left of the eye
grid grid grid
grid grid grid
grid grid grid